Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo music. Onyesha machapisho yote

Ndani ya siku 87 "HELLO'' Ya Adele yafanya miujiza youtube

0 maoni
Wimbo wa Adele umekuwa wimbo uliopendwa sana kwa muda mfupi sana kama ulikua hujui #MTU #MZURI wimbo huu wa adele unaambiwa ndio wimbo uliorudiwa kuimbwa mara nyingi na wasanii mbali mbali duniani kote.

lakini unajua kwamba rekodi zinaonesha wimbo huo una kama siku 88 tu hewani, hesabu ambayo kwa tafsiri nyingine ni miezi mitatu !!
Ninayo stori ambayo wameiandika pia kwenye page ya CNN mtandaoni kwamba wimbo wa ‘Hello‘ uliomrudisha Adele kwenye kilele cha kusikilizwa kwa mara nyingine, wimbo huo umetazamwa mara bilioni 1 kwenye channel ya Youtube.

Ngoma hiyo inakuwa ya 17 kuingia kwenye rekodi ya kutazamwa na watu zaidi ya bilioni 1 kwenye mtandao huo.Rekodi zinaonesha mwaka 2013 wimbo wa ‘Roar‘ staa wa Marekani, Katty Perry uliingia kwenye rekodi ya kutazamwa mara bilioni moja baada ya siku 487, mwaka 2014 kukawa na rekodi ya wimbo ‘Black Space‘ wa Taylor Swift uliingia rekodi ya kuangaliwa mara bilioni moja baada ya siku 238

Mwaka 2015 umekuwa mwaka wa Adele, wimbo ‘Hello‘ umeingia kwenye rekodi hiyo ndani ya siku 87, huenda ndio wimbo ambao umetazamwa na watu wengi zaidi ndani ya siku chache kwenye rekodi za Youtube
.....Tuendelee kuiboresha familia ya #WATU#WAZURI for more info nifate instagram kwa @pascalzambwe

kama hukupata nafasi #MTU #MZURI ya kuingia kwenye list ya watu walioutazama wimbo wa adele mara nyingi zaidi duniani, unaweza kuitazama hapa chini nimekuwekea #MTU #MZURI.
 





(video) uongozi wa Diamond na ufafanuzi wa kauli yake kuhusuu kubana nyimbo za wasanii wabongo vituo vya nje

0 maoni
Uongozi wa Diamond waitolea ufafanuzi kauli yake kuhusu kuidhinisha video za wasanii wa Bongo kupigwa MTV.

Meneja wa Diamond platinum Babu tale ametole ufafanuzi wa kauli ya diamond kuhusu kuidhinisha kuchezwa kwa video za wasanii wa kibongo katika vituo vikubwa vya muziki Africa Ingekuwa kweli nyimbo ya Harmonize ambaye ndio msanii wa Diamond, ingekuwa Exclusive MTV au ingekuwa inapigwa kila siku kwasababu ndio biashara yake, si ndio, hilo sio neno la kweli, yule aliyetoa hiyo habari amechukua kichwa cha habari na kukinya habari kwa watu wengine 

“Diamond alihojiwa, alikuwainterview kwenye.. moja ya swali aliloulizwa wasanii gani ambao umewasaidia, na je, unasupport mziki wa nyumbani kwenda nje? yeye akajibu mbona mimi nasaidia watu wengi na kuna kipindi huwa napigiwa simu mtu anauliza labda unamjua fulani mzuri? kuna vipindi, media za nje huwa zinanipigia unamjua fulani mzuri? me nawaambia mzuri kwasababu ya kutengeneza mazingira watu wote tutoke tutangaze mziki wetu nje, alieandika kile kichwa cha habari akasema kwamba Diamond ndiye anayeamua myimbo fulani kwenda sehemu fulani kitu ambacho siyo cha kweli, kama Diamond angekuwa anaamuahivyo maana yake hayo maamuzi anafanya na menejimenti basi nyimbo zote za sijuhi TMK, za TipTop, za mkubwa na wanawe za watu wote wa karibu na Diamond wote ndio zingekuwa zinapigwa sana kuliko hata wengine” Babu Tale aliongeza.
Unawez kuangalia #MTU #MZURI Nimekuwekea hapa chini video ya diomond platinumz akihojiwa katika kipindi cha papaso ambapo ndio cha chanzo cha kutokea maneno juu ya kauli yake hiyo.


..........tuendelee kuiboresha familia ya #WATU #WAZURI For more info nifollow instagram kwa @pascalzambwe