Angalia hapa picha za Mchumba wa Diamond Olatnumz Zari TheBoss Lady Mimba ilivyokua sasa Mambo hadharani
WEKA TANGAZO
WEKA TANGAZO
Siku za star kutokea Bongo Diamond platnumz anaetamba
hivi sasa kwa nyimbo yake ntampata wapi kuitwa baba zinaendelea
kuyoyoma Wiki mbili nyuma tetesi ziliibuka kuwa Mchumba wake Zari Theboss Lady kuwa mjamzito marafiki wa karibu wa star huyu wamerithibitisha hilo.
WEKA TANGAZO
Lakini
pia wawili hao wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kuwachanganya
mashabiki wao juzi kupitia kurasa zao za Instagram mastar hao wote
wawili waliweka picha za mtoto wa kiume na wakike kisha waka sema
mashabiki wao wachague kati ya picha A ambayo alikuwa mtoto wa kike na
picha B aliyokuwa mtoto wa kiume kupitia ukurasa wa zari wa FACEBOOK
kuna picha zilionyesha kitumbo kilivyokua 



0 maoni: