mbwana samatta maisha yake na vyakula anavyopenda

WEKA TANGAZO
Mbwana Ally Samata amezaliwaTarehe 7 mwenzi wa 1 mwaka 1992 katika mkoa wa Dar es salam. Katika maisha yake ya soka alianza kucheza mpira katika klabu ya African Lyon kwa muda wa miaka miwili kutoka 2008 hadi 2010 alipohamia katika klabu ya Simba na kucheza mwaka mmja tu. amapo alifanikiwa kujiunga na krabu ya Tp mazembe


mwaka huu umekua ni mwaka wa mafanikio kwa mtanzania huyu mbwana samatta ambapo alifanikiwa kujiunga na club ya KRC Genk  

leo mtu mzuri nimekusogezea hapa maisha ya Mbwana Samatta na vyakula anavyovipenda unaweza kuangalia hapa chini WEKA TANGAZO

0 maoni: