(PICHA) kwa mara ya kwanza Mbwana Samatta, Lionel Messi na Neymar kwenye Game ya FIFA 16 kwa pamoja

WEKA TANGAZO Kwa wale WATU WAZURI ambao ni wafwatiliaji na wapenzi wa michezo ya game hususani game za mchezo wa mpira wa miguu maarufu kama Play Station, huwa ni kawaida kuona wataalam wa game duniani kutengeneza game za timu zinazopendwa na muonekano wa wachezaji wa timu husika lengo likiwa kujenga taswira halisi kwa mchezaji wa game na kuongeza uvutiaji zaidi pindi unapo cheza game.

Kama ulikua hufahamu mtanzania Mbwana Samatta ambaye amejiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji akitokea TP Mazembe ya huko  Jamuhuri ya Kongo kwa dau linalokadiliwa kuwa ni euro 800,000, ameingizwa katika ya Play Station ya FIFA 16

Hii ni habari nzuri kwa watu wa Tanzania kwani wataalamu wa mambo wanakwambia inasemekana Mbwana Samatta anaweza kuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa kwanza kuwepo katika game hili la FIFA 16






,,,,Tuendelee kuiboresha familia ya #WATU #WAZURI for more info nifate instagram kwa @pascalzambwe WEKA TANGAZO

0 maoni: