"UTAFITI" Zika inasababisha kupooza
WEKA TANGAZO
Utafiti mpya,umetoa ushahidi
kuonyesha kwamba virusi vya Zika vinaweza kuathiri vibaya kinga ya
mwili.Utafiti huo ulifanywa miongoni mwa watu waliougua Zika miaka
miwili iliyopita eneo moja la Ufaransa. Iligunduliwa baadhi ya wagonjwa walipooza na hata baadhi wakafariki dunia kutokana na maambukizi ya Zika.
WEKA TANGAZO
Virusi hivyo ambavyo vimesambaa kwa kasi
kanda ya Amerika Kusini vimelaumiwa kusababisha dosari za kimaumbile
hasa ukuaji wa ubongo kwa watoto wanaozaliwa.
Utafiti mpya umechapishwa na jarida la afya la Lancet.
Virusi hivyo ambavyo vimesambaa kwa kasi kanda ya Amerika Kusini vimelaumiwa kusababisha dosari za kimaumbile hasa ukuaji wa ubongo kwa watoto wanaozaliwa.

0 maoni: