"PIGO" Baada ya kumpoteza Banza Familia imempoteza tena mama na dada wa Banza Stone leo

WEKA TANGAZO "Inasikitisha" February 29 familia ya marehemu msanii wa muziki wa dansi Ramadhani Masanja maarufu kama Banza Stone imepata pigo tena tena ikiwa ni zaidi ya miezi minne imepita toka impoteze msanii huyo, familia ya Banza leo February 29 imeondokewa na watu wawili muhimu kwa Banza.

Leo zimeripotiwa taarifa za familia hiyo kupata misiba miwili ya watu muhimu kwa marehemu Banza Stone, kwa taarifa zilizotoka ni kuwa mama mzazi wa Banza Stone na dada yake wamefariki.

...Tuendelee kuiboresha familia ya WATU WAZURI for more info nifate instagram kwa @pascalzambwe

WEKA TANGAZO

0 maoni: