JUSTIN BIEBER ''Nitamfikisha mahakamani '' CALVIN KLEIN'

WEKA TANGAZO Kutoka NEW YOURK marekani msanii justin bieber amekasirishwa na picha iliyosambazwa mitaondoni inayomuonyesha akiwa na mwili mkubwa uliojaa huku akiwa amevaa boksa maarufu za mwanamitindo aneye faamika kwajina la calvin klein.


Picha hiyo ilianza kusambaa mida flani ivi ya saa 5 asubuhi ambapo star huyo alibaatika kuongelea ishu hiyo na kusema kuwa amekasirishwa na kitendo hicho kinachoonekana kama ni uzalilishaji kwake na kusema kuwa atafanyia kazi swala hilo ikiwezeka kumsimamisha kizimbani mtu mzima calvin klein. WEKA TANGAZO

0 maoni: