UNAMKUMBUKA...?? Mtoto aliyezaliwa na viungo nane juu ya tumbo lake...?

WEKA TANGAZO
mwaka 2010 kijana huyu wa kihindi ambaye alizaliwa na viungo nane na kuheshimiwa kama Mungu alifanyiwa operesheni kumpa nafasi katika maisha ya kawaida. Deepak Paswan 7',Alizaliwa na pacha vimelea nje ya tumbo lake akiwa na miguu minne pamoja na mikono minne.




Wahindi walitembelea nyumbani kwao jimbo la kaskazini la Bihar kwa nia ya kumuabudu kama mungu.

Familia ya deepak iliomba msaada sehemu mbalimbali na kufanikiwa kumfanyia upasuaji na oparesheni hiyo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kumrejeshea mtoto Deepak Paswan furaha katika maisha yake kwani kwa sasa anaonekana katika umbo zuri na kuendelea na masomo Ncini India.
WEKA TANGAZO

0 maoni: