Wahanga wa shambulio la Ugaidi wakumbukwa Ufaransa
WEKA TANGAZO
WEKA TANGAZO
katika kanisa katoliki la Notre Dame mjini Paris, wakati raia wa
Ufaransa walipowakumbuka wahanga wa shambulizi la kigaidi katika ofisi
ya jarida la Ckatika kanisa katoliki la Notre Dame mjini Paris, wakati raia wa
Ufaransa walipowakumbuka wahanga wa shambulizi la kigaidi katika ofisi
ya jarida la Charlie Hebdo
harlie Hebdo
Raia waliokuwa katika eneo hilo waliweka kalamu, kuwasha mishuma na
hata vijikaratasi vilivyokuwa na ujumbe wa huzuni na kulaani kitendo
hicho. Mwanamke mmoja alisema kwa sauti “Mshikamano na Uhuru” huku
akibubujikwa na machozi. Na ilipofika saa sita juu ya alama hivi ndivyo
hali ilivyokuwa nchini Ufaransa.
Wafaransa walinyamaza kwa dakika moja kuwakumbuka wahanga wa shambulio
hilo la kigaidi. Baadaye raia hao waliimba wimbo wa taifa, huku wakilia,
wengi wakiwa na kalamu na penseli ishara ya wachora vibonzo waliolengwa
katika shambulio hilo.
0 maoni: